Mastaa na marafiki wa karibu na Muigizaji Wema Sepetu wamejitokeza kwa wingi katika hali ya Kumfariji kutokana na kufiwa na baba yake mzazi Balozi ISAAC ABRAHAM SEPETU aliyefariki jana kwa maradhi ya Kupooza aliyougua kwa Muda Mrefu.
Msiba upo sinza Mori Nyumbani Kwa Familia Ya Marehemu na marehemu anatarajia kusafirishwa kesho kwa mazishi huko Zanzibar
Msiba upo sinza Mori Nyumbani Kwa Familia Ya Marehemu na marehemu anatarajia kusafirishwa kesho kwa mazishi huko Zanzibar

No comments:
Post a Comment