Monday, 21 October 2013

BILALI AFUNGUA MKUTANO WA SADC PF


 Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal akifungua mkutano wa 34 wa Baraza la Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC PF), jijini Arusha jana. 
 Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharibu Bilal akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufungua mkutano wa 34 wa Baraza la Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC PF), jijini Arusha jana. Kushoto kwa Bilali ni Spika wa Bunge, Anne makinda na Kulia ni Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah.
Spika wa Bunge, Anne Makinda akizungumza kwenye ufunguzi wa mkutano wa 34 wa Baraza la Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC PF), jijini Arusha jana. Picha na Ofisi ya Bunge

No comments:

Post a Comment